upload
Teachnology, Inc.
Industrie: Education
Number of terms: 10095
Number of blossaries: 1
Company Profile:
Ni muundo wa mtihani au mjarabu ambapo wanafunzi huwekewa majibu mbali mbali na hulazimika kuchagua kutoka kwayo jibu bora zaidi.
Industry:Education
Ni lugha ya kwanza wanayosoma au kuongea kwa misingi ya utamaduni, nchi an/au familia.
Industry:Education
Kauli inayotolewa kuonyesha malengo ya kimsingi ya kikundi au taasisi.
Industry:Education
Vielelezo vya majibu ya maswali au insha. Ni programu ya kimasomo inayojengeka kupitia vipengele vilivyowekwa.
Industry:Education
Ni shughuli ya kumpa mtu mawaidha na kumwelekeza katika kazi au shughuli fulani.
Industry:Education
Nomimo: Anayetoa ushauri kwa mwanafunzi. Kushauri (kitenzi): kutoa ushauri au maelekezo (kwa mtu).
Industry:Education
Mbinu na dhana ambazo mwalimu hutumia kuhakikisha kuwa kusoma kunafanyika.
Industry:Education
Sehemu maalum ya madarasa ambapo wanafunzi huhusika na shughuli mahususi ili kuwezesha kusoma maarifa au ujuzi; kwa mfano, wanafunzi hufanya kazi zao wenyewe kwenye vituo vya kusomea pasi kuwepo na mwalimu.
Industry:Education
Maafikiano baina ya mwalimu na mwanafunzi kuhusu malengo yanayofaa kufikiwa katika kipindi fulani maalum cha kusoma au cha shughuli fulani.
Industry:Education
Vikundi vya watu(wanafunzi) ambao wanafanya kazi za kimasomo pamoja au kushughulikia jukumu fulani.
Industry:Education
© 2024 CSOFT International, Ltd.